Log in

/tupendanegroup/news: English

BaseEnglish
05/06/2010 – Wanachama walikutana kuangalia uwezekanowa kuanzisha mradi wa pamoja ili waweze kujikimu na ugumu wa maisha. – Kwani mpaka sasa tuna miradi ya mtu mmoja mmoja inayotuwezesha kujikimu na ugumu wa maisha.Kuna wanakikundi wanaofanya shughuli mbalimbali kama – 1:Ushonaji – 2:Mama lishe – 3:Uuuzaji wa mitumba,viatu na mapambo ya nyumbani – 4:Usukaji wa nywele – 5:Uuzaji wa...05/06/2010 – Members met to look at setting up a project with uwezekanowa order to survive the difficulties of life. – For until now we have the individual projects inayotuwezesha maisha.Kuna survive difficult group members who do various activities like – 1: tailoring – 2: Mama nutrition – 3: The seller of mitumba, shoes and home decoration – 4: The hair Usukaji ...Edit
25/06/2010 – MATATIZO YA KIKUNDI – Wanachama tulitukutana kujadili tatizo la UKOSEFU WA OFISI YA KIKUNDI. – Kwani mpaka sasa shughuli zote za kikundi zinafanyika SEBULENI kwa Mwenyekiti hivyo kupunguza ufanisi wa shughuli za kikundi.Pia ukosefu wa vitendea kazi unarudisha nyuma shughuli za kikundi.Kikundi kinaomba kuwezeshwa kupatiwa Ofisi na Vitendea kazi ili...25/06/2010 – ,, PROBLEMS OF GROUP – Members tukutana we discuss the problem of lack of OFFICE OF THE GROUP. – For until now, all group activities are held to the living room chair so reduce the effectiveness of the activities of the lack of tools kikundi.Pia you return back to operations enabled kikundi.Kikundi They pray the Office and provided with tools to increase efficiency in the...Edit
10/06/2010 – Wanakikundi wa TUPENDANE walimtembelea bwana KIKA MJATA mzalishaji wa mafuta ya Ubuyu.Tuliweza kuona hatua kwa hatua za uzalishaji wa mafuta hayo,ambayo yamethibitika kuongeza idadi ta CD4 kwa haraka sana na kupunguza idadi ya VVU mwilini.10/06/2010 – They love one another group's visit certainly MJATA master producer of oil Ubuyu.Tuliweza see step by step the production of oil, which assume increasing CD4 yamethibitika very quickly and reduce the number of HIV load.Edit
tarehe 25/04/2010 – kulitokea msakowa wafanya biashara ndogo ndogo katika manispaa ya dodoma .Hii ilikuwa imelengwa kwa watu wote ambao wanafanya biashara katika kituo cha mabasi ya usafirishaji mjini (Daladala) – Miongoni mwa waathirika katika zoezi hili walikuwepo wanachama wa kikundi chetu ambao wanafanya biashara ya samaki,nguo,viatu na mapambo ya nyumbani. – Waachama wetu wamepoteza baadhi ya mali zao ambazo zimekuwa zikiwasaidia katika kujikimu kimaisha na kuwapatia mahitaji yao...on 4/25/2010,, there was a small business msakowa in Dodoma Municipality. imelengwa This was all the people who are doing business in center city bus transport (bus): Among the victims were present in the exercise group members our business who do fish, clothes, shoes and home decoration.,, our membership have lost some of their properties which have been zikiwasaidia in subsistence living by providing all their needs including nutrition . – 27/04/2010,, Wanaachama They walked the...Edit
Mkuu wa TUPENDANEGROUP anaumwa macho kutokana na kuathirika. Ameshauriwa kuenda Hospitali ya MVUMI ADMISSION HOSPITAL ili kupata matibabu. Sisi wenzake wa TUPENDANE GROUP tunamuombea apone haraka ili shughuli za tupendane ziendelee.The head of TUPENDANE GROUP has eye pain from being infected. She has been advised to go to Mvumi Admission Hospital to receive treatment. We, her companions of TUPENDANE GROUP, ask for her to get better quickly so that the work of Tupendane may continue.Edit