Base (Swahili) | English |
---|---|
MED YATOA SAADA WA VITABU.Shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma MED limetoa msaada wa vitabu vya kiada na kiongozi cha mwalimu vyenye thamani ya zaidi ya Sh. 397,363,300 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa lengo la kuboresha Elimu katika Wilaya hiyo. Mdsaada huo wa vitabu vya masomo ya kiingereza, Hisabati na Jiografia utawanufaisha walimu na wanafunzi wa shule 82 za Halmashauri ya Chamwino iliyoko Mkoani Dodoma.
Mbali na msaada huo wa vitabu katika wilaya hiyo, MED imeweza pia kushuhudia matatizo mengi yanayowakabiri wanafunzi wengi katika wilaya hiyo hasa likiwemo tatizo la ukosefu wa madawati kitu ambacho kimeonekana kama kuwa ni tatizo lililoanza kuzoeleka katika maeneo mengi katika wilaya hiyo, pia limejtokeza tatizo kubwa linalohatarisha afya za wanafunzi wengi katika shule nyingi katika wiaya ya chamwino ni ukosefu wa vyoo, vyumba vya madarasa, madawati, zana balimbali za lujifunzia na kufundishia pamoja na mafunzo ya walimu kazini. |
DISHES WITH BOOKS support.Friends of Education Organization has provided support Dodoma MED textbooks and teacher's guide valued at more than Sh. 397,363,300 for DC Chamwino to improve education in the District. Mdsaada same textbooks English, mathematics and geography will benefit teachers and students of the school 82 of Council Chamwino ambient Dodoma region.
In addition to the grant of the books in the district, MED has been too much trouble yanayowakabiri witnessed many students in the district, mainly including the problem of the lack of desks occasionally something like that a problem which was habitual in many places in the district, also limejtokeza serious problem endangers the health of many students in many schools in wiaya the Chamwino a lack of toilets, classrooms, desks, various tools of lujifunzia the teaching and training of teachers to work . |
Translation History
|