(image) – Katika utekelezaji wa kweli wa maendeleo ya Tanzania tunahitaji viongozi wachapakazi wenye moyo wa kutumikia wananchi na kukubali ushauri bila kujali nyadhfa zao.
Bi.Fatma Said Ally ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Chamwino ni miongoni mwa viongozi ambao wanapongezwa na wananchi kutika juhudi zake za kuwa karibu na wananchi,taasisi pamoja na wadau katika Wilaya yake kwa lengo la kuwaletea maendeleo.
MED inampongeza kiongozi huyu na kumtakia kila la kheri... | (Not translated) | Hindura |