Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/m-e-d-1-1/news
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Mikakati
(Not translated)
Hindura
Je Wajua?
(Not translated)
Hindura
Picha za Matukio
(Not translated)
Hindura
MED Yaomba Wastaafu Kufundisha kwa Mikataba. – Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma MED imemwomba Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ushari ya Wilaya (DCC) Bw. John Tuppa; kuishauri kamati yake ili iwatumie walimu wastaafu kufundisha shule za sekondari za kata. – Barua ya MED yenye maombi hayo iliwasilishwa kwa Mkuu wa Wilaya kwa lengo la kusaidia kupunguza tatizo la uhaba wa walimu katika shule za kata katika Wilaya ya Dodoma. ...
(Not translated)
Hindura
MED Hewani Kuanzia Mach 2011. – Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) inatarjia kuanza kuendesha vipindi vyake vya Radio kuhusu Elimu kuanzia mwezi Machi, 2011. Wanachama wa MED na wadau wote wa Elimu wanakaribishwa kushiriki kwenye vipindi hivyo. – Hayo yameelezwa na Mratibu wa MED Bw. Davis Makundi alipkuwa akiongea na mwandishi wa habari hizi ofisini kwake. Bw. Makundi amesema vipindi hivyo vitaendeshwa kwa udhamini wa mashirikaya HakiElimu na...
(Not translated)
Hindura
Kutoka Mitaani
(Not translated)
Hindura
Wafadhili
(Not translated)
Hindura
Wenye Ulemavu Waomba Msaada wa Vifaa. – Watu wenye changamoto za ulemavu wamewaomba wanasiasa kuwasaidia kupata nyenzo mbalimbali kwa ajili ya shughuli zao za kila siku. – Wakiongea kwa nyakati tofauti na MED wanachama wa Chama Cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) tawi la Dodoma wamesema; wanasiasa wana nafasi nzuri ya kutetea haki za walemavu kama kweli wakidhamiria kufanya hivyo. – Mwenyekiti wa CHAVITA tawi la Kondoa Bw. Mustafa Shabani amesema watu wenye...
(Not translated)
Hindura
Matukio Yajayo
(Not translated)
Hindura
Washirika
(Not translated)
Hindura