CLUB ZAOMBA MAKTABA, TUISHENI KUNUSURU UFAULU KIDATO CHA IV, 2012 – Na. Davis Makundi – Wanachama wa Club za Marafiki wa Elimu Dodoma kutoka katika shule mbalimbali Mkoani Dodoma wameomba msaada wa kupata walimu na Maktaba za jamii ili kuwanusuru na matokeo mabaya katika mtihani wa kidato cha nne na kidato cha pili mwaka huu. ... | ZAOMBA CLUB LIBRARY, TUISHENI help him succeed FORM IV, 2012 – And. Davis Groups – Members of the Club of Friends of Education in various schools in Dodoma Dodoma region have asked for help in getting teachers and community libraries to help with test results negative in Form Four and Form Two this year. ... | Edit |