Nachukua nafasi hii kuipongeza taasisi ya The Foundation for Civil Society (FCS) kwa kutuunganisha na mfumo huu wa kompyuta wa Envaya ambao umekuwa wenye manufaa makubwa kwetu wana AZAKi. Nashauri FCS iendelee kutuwezesha katika masuala mbalimbali ambayo yatatuwezsha kujengeka kiuwezo na kupelekea sekta ya AZAKi kuimarika, kuaminika na kukubalika zaidi na Jamii, Serikali na Wabia wa Maendeleo. | I take this opportunity to congratulate the Institute of The Foundation for Civil Society (FCS) to unite us with the computer system of Envaya which has been beneficial for us to have a major CSOs. I recommend that FCS should continue to enable us to built up various issues which yatatuwezsha most capable and leading the CSO sector strengthening, reliable and more acceptable to society, Government and Development Partners. | Edit |