Log in

/LANGO/post/24551: English

BaseEnglish
Nachukua nafasi hii kuipongeza taasisi ya The Foundation for Civil Society (FCS) kwa kutuunganisha na mfumo huu wa kompyuta wa Envaya ambao umekuwa wenye manufaa makubwa kwetu wana AZAKi. Nashauri FCS iendelee kutuwezesha katika masuala mbalimbali ambayo yatatuwezsha kujengeka kiuwezo na kupelekea sekta ya AZAKi kuimarika, kuaminika na kukubalika zaidi na Jamii, Serikali na Wabia wa Maendeleo.I take this opportunity to congratulate the Institute of The Foundation for Civil Society (FCS) to unite us with the computer system of Envaya which has been beneficial for us to have a major CSOs. I recommend that FCS should continue to enable us to built up various issues which yatatuwezsha most capable and leading the CSO sector strengthening, reliable and more acceptable to society, Government and Development Partners.Edit
Wana AZAKi tujipange vilivyo katika kuhakikisha kwamba kila Mtanzania anashiriki kikamilifu katika mchakato wa mapitio na kutungwa kwa Katiba Mpya. Uzoefu unaonesha kwamba watu walio vijijini hupitwa na michakato mingi ya Kisera na Maendeleo, lakini kwa hili la Katiba tuhakikishe kwamba tunafanya kila tutakaloweza ili kuwafikia watanzania wote wakiwamo wa vijijini na makundi yaliyokatika hatari zaidi ya kuathirika na umaskini.Children CSOs organize effectively to ensure that every Tanzanian has participated actively in the process of review and drafting of new constitution. Experience has shown that rural people are overtaken by many processes of Policy and Development, but by this Constitution to make sure that we do everything we kaloweza to reach out to all Tanzanians, including rural and group yaliyokatika risk of infection and poverty.Edit
katiba ni jambo zuri na la busara kwa wana AZAKI kulisimamia na kuhakikisha kila raia ndani ya mkoa wa Lindi au out of the region ikiwezekana anafahamu mapunguvu ya katiba iliyopo na ni nini hasa kinatakiwa kuwepo katika katiba mpya, na sio kupelekwa na upepo wa interest binafsi ya mtu, kikundi au chama cha siasa. nafahamu mazingira ya Lindi hasa vijijini watu hawashiriki katika uamuzi wa mambo mbalimbali yanayo wahusu, so ni changamoto kwa wana AZAKI kuhakikisha watu wanakusanyika na kuweza...constitution is a good thing and necessary to have CSOs head and make sure every citizen in the region of Lindi or out of the region possibly knows degenerative constitution ahead and what exactly should be in the new constitution, and not taken by the wind of Interest private person, group or political party. I know exactly the environment of Lindi Rural people do not participate in decisions which pertain to different things, so it is challenging for NGOs to ensure people have gathered and to...Edit
Waswahili hunena "Hayawi, hayawi, sasa yamekuwa" Ni ukweli usiopingika wala kufichika kwamba hakuna njia ya mkato ili kufikia katika mafanikio kwenye jambo lolote. Nadiriki kusema hivyo kutokana na ukweli kwamba Mtandao wa Asasi za Kiraia Mkoa wa Lindi (LANGO) kama ambavyo unajulikana kwa jina maarufu umepitia katika changamoto lukuki tangu kuanzishwa kwake katikati ya mwaka 2007. Moja wapo ya changamoto kubwa ni; kuanzishwa na kujiendesha kwa kutumia raslimali fedha chache ilizokuwa...Swahili is spoken "very far, not yawi, now have been" It's not opingika nor hid the fact that there is no shortcut to achieving the success in anything. Nadiriki say so due to the fact that the Network of Civil Society Lindi Region (door) is known as a famous name has passed into myriad challenges since its inception in mid 2007. One of the biggest challenges are: the establishment and independence in using resources to finance a few ilizokuwa collects from its members who once ililazimu...Edit
Add a commentGot a bad https://geeksquad-appointment.us/credit score and desperately in need of a loan? King Zeus is the solution! I got turned down by so many creditors because of my bad score. I was referred to King Zeus and he assisted me with securing a loan and also repaired my credit. He's truly a savior and with his help, I'm able to stay out of debts and keep a roof over my head. You can hit him up on 407-900-6299 or HACKKINGZEUS at g mail dot com if you have the same...Edit
Your email:Your email:Edit
Your email address will not be published.Your email address will not be published.Edit
Your location:Your location:Edit
%s said:%s said:Edit
(optional)(optional)Edit
Publish commentPublish commentEdit
CommentsI recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...Edit
JuneJuneEdit
JulyJulyEdit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit