@Godlisten Msanapenda kuchangia katika hili tunapokosea sisi ni sehemu moja tu kwamba unatibu malaria baada ya kuangamiza mazalia ya mbu kwani ndio chanzo cha kuenea kwa malaria. vile vile elimu haitolewi ipasavyo upotoshaji unakuwepo mkubwa ambao unawafanya watu wasiokuwa na elimu kudharau kinga zinazotolewa na serikali kwa mfano (chandarua) kuna baadhi ya watu wanasema zina madhara kwa binadamu bila kufanya utafiti wowote na jinsi ninavyofahamu jamii kubwa ya... | @ Godlisten Msanapenda we contribute to this wrong, we are only one part that you treat malaria after destroying the breeding of mosquitoes as the source of the spread of malaria. such as education is not available appropriately fabrication is in place, hence make people uneducated to undermine protection provided by the state for example (net) some people say are harmful to humans without doing research any way I know a great multitude of rural education is as small... | Edit |