Envaya

/nyedaco/topic/61865: Kiswahili: dM00014E419E3E4000067660:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

@Godlisten Msanapenda kuchangia katika hili tunapokosea sisi ni sehemu moja tu kwamba unatibu malaria baada ya kuangamiza mazalia ya mbu kwani ndio chanzo cha kuenea kwa malaria. vile vile elimu haitolewi ipasavyo upotoshaji unakuwepo mkubwa ambao unawafanya watu wasiokuwa na elimu kudharau kinga zinazotolewa na serikali kwa mfano (chandarua) kuna baadhi ya watu wanasema zina madhara kwa binadamu bila kufanya utafiti wowote na jinsi ninavyofahamu jamii kubwa ya vijijini elimu ni ndogo kama mtu atapotosha jambo basi ni rahisi kuenea. vile vile kuna umuhimu wa vyombo vya habari kujikita zaidi vijijini ambako ndio kuna madhara makubwa zaidi na sio kubaki mjini ningeomba serikali na wadau wa habari walione hilo watoe elimu kwa wanainchi wa vijijini zaidi kwa kuwa mjini wameelimika kiasi fulani.ki (Nyengedi): 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe