| Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
|---|---|
|
@Mzizi Cultural Troup (Iringa): HAKI NA WAJIBU Kijana anaye taka kupata haki ya afya ya uzazi ni lazima akumbuke kuwa ni wajibu wake kulinda afya pia. Wajibu wa kulinda afya ni wa kila mmoja wetu. Dr Clifford Majan ABHASU |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe