Envaya

/DAKEDEO/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
DAKEDEO NA PROGRAM ZA MAFUNZO KUPITIA KITUO CHA ELIMU YA KUJITEGEMEA UJASILIAMALI NA UJENZI WA WELEDI(DAKAWA CENTRE FOR SELF RELIANCE AND SKILLS DEVELOPMENT (DCSSD). – Mafunzo kwa ajili ya Elimu ya maadalizi ya kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2014 yamefunguliwa rasmi. – kupitia kituo chake (DCSSD) imeanzisha vituo vya ziada katika kata za Sungaji,Dihinda,Lusanga,na Turiani. – Kuanza kwa mafunzo ya Kompyuta kwa msimu wa pili wa mwaka 2014 katika...(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
DAKEDEO. – Inawakaribisha wadau wa maendeleo katika ubunifu na uendeshaji wa miradi ya MAENDELEO KATIKA JAMII ambayo ina mwelekeo wa kukuza uwezo na weledi katika kuwezesha vita dhidi ya umasikini wa kipato katika jamii. – Miradi hiyo yaweza kuwa katika muktadha wa kilimo,ufugaji na shughuli za ujasiliamali.(Bila tafsiri)Hariri
KUANZA KWA MAFUNZO. AWALI YA KIDATO CHA KWANZA NA KOMPYUTA. – DAKAWA CENTRE FOR SELF RELIANCE AND SKILLS DEVELOPMENT IMEFUNGUA MAFUNZO YA AWALI KWA WANAFUNZI WANAOTARAJIA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2014 KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI NCHINI TANZANIA. – MAFUNZO HAYO YATAKAYOCHUKUA MUDA WA MIEZI MITATU YALIANZA RASMI 22-SEPTEMBA 2013 KATIKA KITUO KILICHOPO WAMI DAKAWA MAKAO MAKUU YA ASASI YA DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION (DAKEDEO) AMBAYO...(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri