KWA NINI TUNAHITAJI USHIRIKI WA MWNAMKE KATIKA KATIBA MPYA? – Kwa kuwa tunahitaji katiba itakayokidhi matakwa ya mwanamke na mwanaume ,hivyo ushiriki wa makundi yote haya kwa uwiano sawa ni muhimu ili kuleta mabadiliko ya kweli na kupata katiba itakayosimamia usawa, haki ,utu na heshima ya wananchi wake bila kujali jinsia. – Kutokana na changamoto hii na kwakuzingatia idadi ya watanzania inayoonyesha kuwa... | (Not translated) | Hindura |