Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. (Dkt)Jakaya Kikwete amelitembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika maonesho ya Kimataifa ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam na kujionea shuguli mbalimbali zinazofanywa na Wizara hiyo. Mheshimiwa Rais aliyefuatana na mkewe mama Salma Kikwete alionyeshwa kuvutiwa sana na kazi nzuri inayofanywa na Wizara sambasamba na kujionea bidhaa mbalimbali na kupata ... | (Not translated) | Hindura |