MAFUNZO YA UJASIRIAMALI YANAYOENDESHWA NA MTANDAO WA VIJANA (TEYODEN) YAENDELEA KATIKA WIKI YA TATU. – Sasa imeshafikia wiki ya tatu toka mafunzo ya anzisha na kuza wazo lako la biashara yanayoendeshwa na TEYODEN hapa,Temeke kwa kushirikiana na mwezeshaji kutoka I.L.O yanayosimamiwa na asasi ya Restless Tanzania. – Mafunzo haya yanachukua wastani wa wiki moja kwa kila kundi la vijana 30.Mpaka sasa... | (Not translated) | Hindura |