Brother Charles. – Tatizo si mawaziri wala CCM, tatizo ni kupotea kwa uzalendo na maadili ya Taifa. – Sisi sote kwa pamoja ni lazima tuangalie wapi tulipo angukia siyo wapi tulipo jikwaa. Wajibu wetu kama taifa ni kuhakikisha tunaukataa ukoloni wa watu weusi na kuyakataa mabaki ya ukoloni wa wazungu katika vichwa vyetu. Kwa pamoja tunaweza, timiza wajibu wako. – Dr Cliifford Majan – ABHASU.MBEYA. | (Not translated) | Hindura |