Envaya

/Brightlight/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
(image) – Wanawarsha wakiwa na nyuso za furaha wakimsikiliza mwezeshaji katika ukumbi wa mikutano wa asasi ya Bright Light.(Not translated)Hindura
(image) – Network programer of Bright Light Organization miss Bibiana Marco on her pose after a heavy task she was assigned to do.(Not translated)Hindura
(image) – Mwezeshaji ndugu Kim Adiel Juan akitoa maelekezo amilifu jinsi ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi ya Bright Light ili kuleta maendeleo endelevu kwa wanachama na jamii kwa ujumla.(Not translated)Hindura
(image) – Mwanawarsha ndugu Roggers William akisikiliza kwa makini maelekezo ya namna ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi yao.(Not translated)Hindura
(image) – Mwanawarsha bi Mariam Ngai akifuatilia kwa makini maelekezo ya mwezeshaji wakati wa mafunzo yakiendelea.(Not translated)Hindura
(image) – Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Bight Light Mathew Daniel akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mradi wa JENGA UWEZO kwa Mwl. Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mkoani.(Not translated)Hindura
(image) – Mwanawarsha ndugu Mathew Daniel akitoa maoni wakati wa semina ya namna ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi ya Bright Light.(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura
(image) – Mkurugenzi mtendaji Mathew Daniel (kushoto) na Afisa mshauri Kim Adiel (kulia) wa asasi ya Bright Light wakiwa katika ofisi ya mwalimu mkuu wa S/Msingi Mkoani hapa Geita wakati wa kubaini watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi shuleni hapo.(Not translated)Hindura
(image) – These are nursery school pupils participating world's girl child celebration in Geita Region(Not translated)Hindura