Base (Swahili) | English |
---|---|
PROGRAMU YA YOUTH INFORMATION CENTRE YAJA TANZANIA,DAR-ES-SALAAM IKIWA SEHEMU YA MAJARIBIO.
Programu hii inalengo la kurahisisha upatikanaji wa habari zitakazohusu nyanja mbalimbali za ustawi wa vijana hasa ukizingatiwa kuwa vijana ndio wahanga wakubwa wa changamoto nyingi za maisha.Hivyo kituo cha habari cha vijana kitakuwa kinajibu maswali ya vijana katika changamoto mbalimbali watakazo kuwa wanakabiliana nazo.
Kituo katika hatua za awali kitakuwa ni cha mfano kwa kuanzia katika wilaya za Temeke,Ilala na Kinondoni na kutakuwa na kituo cha taifa cha habari kwa vijana vyote vitakuwa chini ya wizara na Manispaa husika. Wizara imeunda timu ya watu 7 kushughulikia mchakato wa uundwaji wa kituo hicho na kwa pamoja na wadau walihojiwa imeundwa timu ya watu 14 itakayotoa maoni juu ya namna gani kituo hicho kitakavyochukua sura ya vijana wa kitanzania. TEYODEN imetoa uwakilishi wa vijana wawili katika timu hiyo ya mchakato wa maoni na kuchagiza uundwaji wa kituo hicho. Vijana tuamke na kufuatilia juu ya fulsa hii muhimu kwetu.
Wadau 12 wa timu ya Uundwaji wa kituo cha Habari cha vijana wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa katika Hotel ya Peacock tarehe 12/7/2012.
|
APPLICATIONS FOR YOUTH INFORMATION CENTRE Comes TANZANIA, DAR-ES-SALAAM IF PART OF TRIALS. This program inalengo of facilitating access to information zitakazohusu various aspects of the welfare of young people especially young ones have been considered the biggest victims of the most challenging maisha.Hivyo information center will be a youth answers questions youth in various challenges they stress that they face. Facility in the initial stages of the model will be starting in the districts of Temeke, Ilala and Kinondoni and there will be a national center of information for young people will all be under the respective ministries and municipalities. The Ministry has created a team of seven people handle the process of creation of the center and together with stakeholders were interviewed team is made up of 14 people will provide feedback on how center kitakavyochukua chapter Tanzanian youth. TEYODEN has two youth representation in the team process feedback and shaping the creation of the center. Young's wife and tabs on this fulsa important to us. 12 stakeholder team creation of a youth information center in the picture as well as at the Peacock Hotel on 07/12/2012. |
Translation History
|