Envaya
/cvtdom/post/102813
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Ni hoja njema sana. Hii itapanua uelewa na ushiriki mpana wa kila MTU kwenye ujenzi wa taifa kwani lugha ya ishara itasambaa maeneo mengi na kusaidia watu wenye tatizo la usikivu.
(Bila tafsiri)
Hariri
safi sana wadau wazo lenu liko sawa, tukopamoja.
(Bila tafsiri)
Hariri
Hongereni Sana lakini nami naomba niulizeJe huwa Kuna vifaa cya usikivu vya msaada vinapatikana?wapi KWA hapa Dodoma?
(Bila tafsiri)
Hariri
Ilikuwakomboa viziwi ni lazima lugha ya ishara iingizwe katika mtaala wa elimu,
(Bila tafsiri)
Hariri
Ndio, huo ni mwanzo mwema kuelekea Tanzania yenye kujumuisha na kujali haki ya kila raia bila kujali hali yake
(Bila tafsiri)
Hariri
chavita tawi la mkoa wa Dodoma limezindua program ya mafunzo ya lugha za alama katika maeneo yafuatayo: UDOM, TCf, SAFINA KITUO CHA WATOTO YATIMA DOM na ST JOHN UNV DODOMA program hiyo ni ya miaka miwili kwa mujibu wa idara ya lugha ya alama chavita tawi la mkoa wa dom. mratibu wa mradi huo mr YUSUF MLOLI ambae ni mwenyekiti alisema na kuongeza kuwa mpango huo utasaidia na kuifanya jamii ya wakazi wa dom kuwatambua na kuwashirikisha viziwi kikamilifu katika mipango ya...
(Bila tafsiri)
Hariri