Envaya
/hct/news
: English
Base
English
Hisia's Artists
(Not translated)
Edit
(image) – Maonesho ya uelimishaji vIJIJINI
(Not translated)
Edit
Hisia tumehudhuria workshop ya wadau wa VVU/UKIMWI iliyofanyika manispaa ya Iringa. Pamoja na mambo mengine tumeweza kubadilishana uzoefu na asasi nyingine. Ni fursa nzuri za kujifunza ambazo tunazihitaji sana!
Feelings have attended stakeholder workshop on HIV / AIDS held in Iringa Municipality. Among other things we can share experiences with other institutions. It is a good opportunity to learn where we need it most!
Edit
(image) – Mashirikiano na mdau wa peace Corps
(Not translated)
Edit
(image)
(Not translated)
Edit
KONGAMANO LA SANAA – WASANII wote mnaalikwa katika kongamano la sanaa za maonesho linalotarajiwa kufanyika Juni 15, 2013 hapa mkoani Iringa kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni. – Kongamano litakuwa la siku moja na washiriki wanaomba kujigharamia kwa 100%. Pamoja na mada, kongamano litapambwa na burudani za sanaa za maonesho. – Watakaopenda kujitolea kuendesha mada na wale watakaopenda kuonesha sanaa zao...
(Not translated)
Edit
HISIA CULTURAL TROUPE-HCT IMEFUNGUA OFISI MPYA YA KUDUMU BAADA YA KUWA KATIKA HEKA HEKA ZA KUHAMA MARA KWA MARA – TUPO MAKUTANO YA MTAA WA JANGWANI NA MTWA, IRINGA MJINI – KARIBUNI SANA
(Not translated)
Edit
HISIA CULTURAL TROUPE ipo katika mchakato wa kuboresha shughuli zake na kuongeza shughuli za uelimishaji rika na nyinginezo za kijamii. Ukiwa kama mwanajamii tunahitaji sana ushauri wako katika kuboresha hilo ambapo kama jina litapitishwa itajulikana kwa jina – HISIA MEDIA AND COMMUNICATION ORGANIZATION--HIMCO ...
(Not translated)
Edit
(image) – Cover ya Filamu yetu "Mchunga Ng'ombe"
(Not translated)
Edit
(image) – Wasanii wa Hisia wakiwa tamashani, Morogoro...
(Not translated)
Edit
(image) – Mwonekano wa cover ya "Mchunga ng'ombe"
(Not translated)
Edit