Envaya

/uwt/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
TANZANIA ELDERS ASSOCIATIO – SHORT TERM AND LONG TERM PLANS SINCE JANUARY 2013 – 01-SHORT TERM PLANS – To expand the existing business by seeking funds both local and foreigner donors. Finding local and foreigner volunteers Establish a good...(Bila tafsiri)Hariri
MIPANGO KAZI YA UMOJA WA WAZEE NA MAENDELEO TANZANIA – MIPANGO YA MUDA MFUPI NA MUDA MREFU KUANZIA JANUARY 2013 – MIPANGO KAZI YA MUDA MFUPI ENDELEVU AA- Umoja wa wazee na maendeleeo Tanzania inawatafuta na kuwaomba wa binafsi;makampuni binafsi ;mashirika...(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Umoja wa wazee na maendeleo Tanzania wakiwa katika moja ya mikutano yao punde walipo tembelewa na viongozi wa manispaa ya Kinondoni-Dar-es-salaam.(Bila tafsiri)Hariri
UTANGULIZI – 001-Wazee kata ya ndugumbi wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es salam,wameanzisha umoja wao tarehe 01/01/2012 ukiwa na wanachama 53 kwa jina la UMOJA WA WAZEE NA MAENDELEO TANZANIA. – 002-Umoja wa wazee na maendeleo umesajiliwa kisheria na msajili wa vyama tarehe 11/02/2013 namba ya usajili ni S.A.18539. – 003-Umoja huu pia umefungua benki akaunti katika benki ya wananchi dar es...(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
TANZANIA ELDERS ASSOCIATION – INTRODUCTION – The Tanzania Elders Association estblished on 1st January 2012 with 50 members in Kinondoni district Dar es salaam Tanzania, and got full registration on 11th february 2013 with registration number S.A...(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
MIPANGO KAZI YA WAZEE YA MUDA MREFU – Tukifanikiwa kupata wafadhili,wahisani wa kutupatia fedha au vifaa n.k.mipango yetu ni kama ifuatavyo: – AA-Tunakusudia kutafuta ardhi ili tulime mashamba nje ya Dare es salaam ili tuanzishe shughuli za kilimo. – BB-Kuanzisha vitalo vya kupanda mti sehemu mbalimbali nchini. – CC-Kuchimba visima vya maji safi na salama katika sehemu...(Bila tafsiri)Hariri