Base (Swahili) | English |
---|---|
MIPANGO KAZI YA UMOJA WA WAZEE NA MAENDELEO TANZANIA MIPANGO YA MUDA MFUPI NA MUDA MREFU KUANZIA JANUARY 2013
AA- Umoja wa wazee na maendeleeo Tanzania inawatafuta na kuwaomba wa binafsi;makampuni binafsi ;mashirika ya umma;mashirika ya kidini;n.k.nchini na nje ya nchi watakaoguswa na umoja huu watusaidie wazee ili wasiwe tegemezi. Tunawaomba misaada ya hali na mali ili wazee tujitegemee. BB-Tokea 28/04/2014 kwa michango ya wanachama wenyewe,biashara ndogo ya kuuza maji ya kunywa ya chupa na soda.(mradi wenyewe ni mdogo sana) tunaomba mtusaidie. CC-Tunaendelea kuwaomba wafadhili mbalimbali nchini na nje ya Tanzania NGO’s n.k mtusaidie fedha au bidhaa soda na maji ya chupa ya kunywa na vinavyofanana na hivyo. DD-Yeyote atakaetusaidia hatajutia fedha au mali yake,kwani uongozi umekamilika. i. Mwenyekiti ii. Makamu mwenyekiti iii. Katibu iv. Naibu katibu v. Muweka hazina vi. Kamati ya utendaji vii. Kamati ya uchumi
EE-Kauli mbiu ya wazee (Mission) “wazee ndugumbi tumeanza tuungeni mkono tusonge mbele”
|
(Not translated) |