About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/ZANSA/news
: English
Base
English
Chama cha skauti Zanzibar kinatoa salaam na pongezi kwa SKAUTI MKUU mteule mama MWANTUMU BAKARI MAHIZA kwa kuteuliwa kwa Skauti Mkuu Hii ni Mara ya kwanza katika Chama hicho kupata skauti mkuu wa kike Tangia kuanzishwa kwake. – Chama cha skauti Tanzania kimekuwa kikiyumba kutokana na kuna matatizo mbali mbali ambayp yanakikabili chama hicho. – Matumain yetu Uteuzi wa mama Mahiza wa weza kuwa ni dawa kwa chama hicho na kurejesha heshima na...
(Not translated)
Edit
Chama cha Skauti Zanzibar leo tarehe 17/3/2018 kimemuapisha Skauti mkuu wa chama cha skauti Zanzibar katika ukumbi wa Kilimanjaro Super star Nursery uliopo Mwanakwereke Mjini Zanzibar ...
(Not translated)
Edit
Chama cha Skauti Zanzibar leo tarehe 17/3/2018 kimemuapisha Skauti mkuu wa chama cha skauti Zanzibar katika ukumbi wa Kilimanjaro Super star Nursery uliopo Mwanakwereke Mjini Zanzibar ...
(Not translated)
Edit
(image) – (image) ...
(image) – (image) ...
Edit
habari ndugu maskauti na wapenzi wa blog hii salam na pongezi kwa Uongozi wa CHUCHU FM kutusapoti katika kuendesha harakati za Skauti hapa ZANZIBAR kwa kurusha kipindi Maaalum katika kituo chenu cha Redio AHSANTE – UONGOZI WA CHUCHU FM – MULHAT DORCE KWA USHIRIKIANO WENU MZURI MULIOTUPA KATIKA SIKU HII YA LEO YA 22/2/2014 SIKU YA MUNZILISHI WA SKAUTI DUNIANI – NISIKU AMBAYO SKAUTI WETU WALIAZIMISHA KWA KAMBI NA KUTEMBELEA MAKUMBUSHO
(Not translated)
Edit
Karibuni Zanzibar scouts Association
(Not translated)
Edit
Chama cha Skauti Ulimwenguni kilianzishwa na Muengereza aitwae Sir Baden Powell (BP) tangu mwaka 1907 huko Uingereza katika kisiwa cha Brown Sea, – Uskauti uliingia Zanzibar mwaka 1912 miaka 5 tu baada ya kuanzishwa na Sir Baden Powell. – Chama cha Skauti Zanzibar kilianzishwa Mwaka 1912 kabla ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, baada ya Mapinduzi ya Zanzibar 1964 Mheshimiwa Rais...
(Not translated)
Edit