Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI), imefanya utafiti na kubaini kuwa, kupo kukukosekana kwa Elimu ya mpiga kura. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, wilaya ya Tandahimba kulitokea machafuko makubwa na kuleta madhara ambayo yalisababisha watu wengi kuyahama makazi yao. Hii yote ni kwa sababu jamii kukosa Elimu ya mpiga kura. OLAI inatoa wito kwa wadau, kuwa OLAI ina dhamira ya kutoa Elimu ya mpiga kura kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, na chaguzi zijazo pindi fursa... | (Not translated) | Edit |