Envaya

/AUG/news: English

BaseEnglish
(image) – Samaki akiwa amekufa mda mfupi kwa kukosa hewa(image) – Fish him dead a short time for lack of airEdit
Vijana wa Africa Upendo Group wamekuwa wakikutana mara kwa mara kujadiliana maswala mbalimbali yanayohusu vijana. – kutokana na wimbi la vijana wengi ambao wanamaliza vyuo vikuu lakini kutokana na mashirika na serikali kung'ang'ania kuwa vijana hawa wawe na uzoefu katika kazi na kwa kuzingatia kuwa vijana hawa ndio kwanza wanatoka kwenye vyuo wamekuwa katika kuhangaika sana. – Katika asasi yetu ya Africa Upendo Group tumekuwa na kitengo maalum cha kuwasaidia vijana...Love Africa Youth Group have been meeting regularly to discuss various issues pertaining to youth. – due to a wave of young people who graduated from universities but from government organizations to hold that the young people have experience in working with young people to consider that these are the first members from the colleges have been in a very distressed. – In our organization of African Love Group we have a Special Unit to help young people like these by...Edit
(image) – Mkurugenzi wa Africa Upendo group akiwa anasikiliza kwa makini vijana wakiwa katika mafunzo ya Ulinzi Salama katika Mtaa wa Makuburi -Kibangu.Aliyevaa tisheti ya kijani aliweza kuwakamata majambazi waliopora fedha kule buguruni zaidi ya milioni 28.Anaitwa Miraji Ramadhani Rashid.(Not translated)Edit
(image) – vijana wanajipa mazoezi katika mafunzo ya kujiamini.(Not translated)Edit
(image) – Vijana wakijadiliana mambo huku wakiwa katika mafunzo ya Computer na ujasiriamali.(Not translated)Edit
(image) – Mkurugenzi wa Africa Upendo Group akiwa na Mwalimu Winfrida Mgina wakipeana mawazo kama wanawake jinsi ya kuwasaidia wasichana na akina mama ambao hawakubahatika kusoma na kujiendeleza.(Not translated)Edit
(image) – Akina mama wakijadiliana jinsi ya kuendesha biashara zao kwa kutoa mifano mbalimbali katika Mafunzo ambayo yaliendeshwa na partners wetu ICTD Learning Centre na DOT(Not translated)Edit
Africa Upendo Group imeanzisha program inayojulikana kama SISI KWA SISI.Program hii ni kwa ajili ya wale wote ambao wangependa kujifunza kutumia Computer na kujua kuzungumza kiingereza rika lolote lile.Program hii ni bure haina gharama yoyote ni mtu kuchukua form pale ofisini kwetu na kwa kwa wale wote ambao wanaishi katika Jimbo la Ubungo tumependa kuanzia pale ofisi yetu ilipo kwanza ndipo tutakaposambaa pote Tanzania.Vijana wetu waalimu ni wengi na bado tunahitaji...Love Africa Group has established a program known as WE THE SISI.Program this is for all those who wish to learn to speak English, Computer and know nothing lile.Program peer is free it does not cost a person to take form at our office and for those All who live in the State of Ubungo we want from the office when it first then we kaposambaa throughout Tanzania.Vijana our teachers are many and we still need many of kujitolea.Tumesambaza form of local government number...Edit
(image) – Vijana wakijadiliana katika mazoezi waliyopewa.Wako katika mafunzo ya ujasiriamali na ICT(Not translated)Edit
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)