WANAFUNZI WAFURAHIA AFRICAN HERITAGE – Wanafunzi wafurahia na kuridhishwa na huduma ya elimu inaytolewa na shirika hilo.Wakiongea kwa nyakati tofauti wanafunzi wameelezea kuridhishwa na mazingira maridhiwa ya kituo cha elimu cha shirika hilo yenye mvuto kielimu,huku wengine wakionyesha hisia zao kwa waalimu wazuri,makini na wenye msimamo thabiti katika elimu na maisha kwa ujumla.Pichani ni wanafunzi wakiwa katika... | STUDENTS Enjoy AFRICAN HERITAGE – Students enjoy and be satisfied with the service of education inaytolewa organization hilo.Wakiongea different times students have expressed satisfaction with the environment ratification of an educational center for the organization of gravity models, while others expressed their feelings for teachers better, pay attention to those who stand firm in the knowledge and life... | Edit |