Envaya

/hucade/post/109688: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
Je serikali ya kijiji ina taarifa? Wamechukua hatua gani ? Je wana ndugu wanasemaje ? Familia hiyo ina Baba ? Jaribu kuwasiliana na wanajamii pamoja na kanisa kwa msaada wa haraka. Pia nashauri kuwasiliana na ofisi ya ustawi wa jamii juu ya swala hili. Ni muhimu ufanyike uchambuzi wa hali halisi ya familia hiyo ukijumuisha changamoto na fursa zilizopo. Baadaye wadau wanaweza kuingilia kati.(Not translated)Hindura
1. Ndiyo serikali ya kijiji ina taarifa na wakati mwingine huwa inawasaidia chakula cha njaa kama kipo. 2. Hana ndugu wa karibu wanaoweza kumsaidia kwani hana baba wala mama na mume wake pia amefariki miaka kama minane iliyopita.Inasemekana kwamba huwa akichanganyikiwa wakati mwingine anawafukuza watoto porini au yeye anaondoka na kupotea hata zaidi ya siku moja nakuwaacha watoto peke yao. Wakati mwingine watoto wanaposahau kufunga mlango wanaingiliwa na fisi na kukimbilia darini hadi asubuhi...(Not translated)Hindura
(image) – Familia ya mama huyu ambaye ni mjane na mwenye matatizo ya akili anaishi na wanawe wanne akiwa hana msaada. Anaishi kijiji cha Bashay wilaya ya Karatu(Not translated)Hindura
Add a commentTanga igitekerezoHindura
Your email:(Not translated)Hindura
Your email address will not be published.(Not translated)Hindura
Your location:Aho uherereyeHindura
%s said:%s bavuzekoHindura
(optional)(Not translated)Hindura
Publish commentHitisha igitekerezoHindura
CommentsIbitekerezoHindura
SeptemberNzeliHindura
{month} {day}, {year}{day} {month}, {year}Hindura
DiscussionsIbiganiroHindura
SwahiliIgiswayireHindura