Base (Swahili) | English |
---|---|
TIMU YA VIONGOZI WA KIKUNDI CHA "WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA" (WEMA) NA MAHALI KIKUNDI KILIPO MAKAO YA KIKUNDI CHA WEMA: KIJIJI CHA Mkalapa-Ndanda KATA YA Mwena WILAYA YA Masasi MKOA WA Mtwara - Tanzania 1. MWENYEKITI WA WEMA: Mr. Fidelis Milanzi 2. MAKAMU MWENYEKITI WA WEMA: Mr. Soteri Mnembuka 3. KATIBU WA WEMA: Mr. Ally K. Kamtande 4. MTUNZA FEDHA WA WEMA: Mchungaji: Joseph Mwanga 5. KAMATI YA UTENDAJI (Ina wajumbe wafuatao): i. Fidelis Milanzi ii. Soteri Mnembuka iii. Ally K. Kamtande iv. Joseph Mwanga v. Rehema Amiri vi. Jeneth Mwanga vii. Jesca Milanzi MRATIBU NA MSHAURI WA WEMA: Mr. Mussa P.M. Kamtande KWA MUJIBU wa Katiba ya WEMA, kiongozi atadumu katika madaraka kwa muda wa miaka mitatu. Baada ya hapo uchaguzi hufanyika. Yule atakayehitajika na wanakikundi anaweza kuchaguliwa tena kuwa kiongozi, katika nafasi yeyote. Kwa upande wa Mshauri na Mratibu wa kikundi, yeye hachaguliwa. Katika kikundi cha WEMA yeye ndiye mhamasishaji na chimbuko la kuanzishwa kwa kikundi hicho, na karibu taarifa zote zinazohusu kikundi zimeandaliwa na yeye.
|
TEAM LEADERS OF THE GROUP OF "activists EDUCATION, ENVIRONMENT AND HEALTH" (EMA) PAYMENTS TO LOCAL GROUP MEETINGS OF THE GROUP OF EMA: VILLAGE OF Mkalapa-Ndanda County Menan Masasi DISTRICT Mtwara Region - Tanzania 1. CHAIRMAN OF EMA: Mr. Fidelis Milanzi 2. VICE CHAIRMAN OF EMA: Mr. Soteri Mnembuka 3. SECRETARY OF EMA: Mr. Ally K. Kamtande 4. Treasurer of good: Pastor: Joseph Mwanga 5. Executive Committee (Contains following members): i. Fidelis Milanzi ii. Soteri Mnembuka iii. Ally K. Kamtande iv. Joseph Light v. Mercy Amiri vi. Jeneth Light vii. Jesca Milanzi Coordinator and Advisor of good: Mr. Mussa PM Kamtande According to the constitution of the EMA, the leader will remain in office for three years. After that election takes place. The team members will be required and can be re-elected leader in any position. In the case of the Adviser and Coordinator of the group, he is elected. In a group of good organizer and he is the source of introduction to the group, and almost all information about the group and he framed. |
Translation History
|