Shule ya sekondari Mpotola ilianzishwa kwa nguvu za wananchi mnamo Mwaka 2006 tarehe 16 Januari, Baadaya ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Ndg Ishidor Shirima akiongozana na Afisa elimu wa Mkoa wa Mtwara Ndg Wahab Essay kuridhishwa na kufurahishwa na juhudi za wanakijiji wa Mandala kujenga shule yao ya Msingi iliyosababisha kuhama katika eneo la sekondari hii na kuhamia eneo lenye majengo mapya. – Ili kutopoteza historia ndipo Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa akatoa zawadi... | (Not translated) | Hindura |