Ipo haja sasa Asasi za kiraia, kujipanga ili kupambana na changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii, kwa lengo la kuiletea maendeleo. Kwa maana ileile ya kuwa Asasi za kiraia hutoa mchango mkubwa wa kimaendeleo katika jamii kwa kushirikiana na serikali. | (Not translated) | Edit |