Envaya

/JIDA/post/5: Kiswahili: WIbc55uu1ZhaYEjPh7OiVX4m:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

JIKWAMUE DEVELOPMENT ASSOCIATION-JIDA

jikwamue development Association ni Asasi ya Kiraia isiyotengeneza faida.

Asasi hii imeanzishwa mwaka 2010,na imepata Usajili tarehe 04/02/2011.chini ya sheria ya uanzishwaji wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Act 24/2002.

MAKAO MAKUU

Ofisi za Asasi hii zipo katika Kijiji cha Tambuu,Kata ya Lundi,Tarafa ya Matombo,Wilaya ya Morogoro Vijijini Mkoa wa Morogoro Tanzania.

JIKWAMUE DEV.ASS.

Asasi hii imeshafanya Mradi wa Kuwajengea Uwezo Wananchi wa Kata ya Lundi juu ya Ufuatiliaji wa Matumizi ya fedha za Umma (PETS) za Sekta ya Elimu na pia Mafunzo ya Uandaaji wa Bajeti,Usimamizi wa Fedha za Umma na Utawala Bora kwa wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Kata ya Lundi na Wajumbe wa Kamati za Shule zilizomo katika Kata ya Lundi

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe