(image) – Mwananchi wa Mriti ambaye ni miongoni mwa wajasilia mali wa vikundi vya kuweka na kukopa akitoa shukrani kwa viongozi wa shirika la Mzeituni Foundation kwa kuwawakirisha wanakikundi wenzake baada ya kukabidhiwa sanduku kwa ajili ya kikundi chao na kuongeza kusema wao wataendeleza kikundi chao kwa kufuata mafunzo yaliytolewa na shirika hilo kwa ufadhili wa shirika la kiswideni la Forum syd katika kata yao.... | (image) – Citizen of the rite, who are among wajasilia property groups for savings and credit giving thanks to the leaders of an olive Foundation for kuwawakirisha group colleagues after the appointment of a box for their group and to say they will continue their group following training yaliytolewa and organization The funding agency kiswideni of Forum Syd in their county. | Edit |