Mzeituni Foundation ilipata fursa ya kushiriki katika maonesho ya 6 ya Asasi za kiraia(AZAKI) Bungeni Dodoma,yaliyo andaliwa na The Foundation For Civil Society kuanzia tarehe 28-30/may/2013 ikiwa ni kati ya asasi zilizopo nchini toka Bara na Zanzibar.Hapo ni jinsi mabanda ya Asasi mbalimbali yalivyokuwa yamepambwa na kuonesha kazi zinazofanyika katika asasi zao. | (Not translated) | Edit |