Base (English) | English |
---|---|
MWALIMU MKUU, AL-MADRASAT – ISLAH MELI – NNE ZANZIBAR 1/5/12.
NDUGU MZAZI WA MWANAFUNZI,
………………………………………….
KUH: KIKAO MUHIMU. Tafadhali husika na mada hiyo. Unatakiwa uhudhurie kikao muhimu sana cha wazazi siku ya Jumapili, tarehe 13/5/12 saa 10: 00 laasiri hapa chuoni. Ni muhimu kufika ili kufanikisha kikao hicho. Mchango wako wa fikra unahitajika.
SHIME TUFIKE KWA WINGI AHSANTE.
M/MKUU.
……………………. MWALIMU MKUU, AL-MADRASAT – ISLAH MELI – NNE ZANZIBAR 1/5/12.
NDUGU MZAZI WA MWANAFUNZI,
………………………………………….
KUH: KIKAO MUHIMU. Tafadhali husika na mada hiyo. Unatakiwa uhudhurie kikao muhimu sana cha wazazi siku ya Jumapili, tarehe 13/5/12 saa 10: 00 laasiri hapa chuoni. Ni muhimu kufika ili kufanikisha kikao hicho. Mchango wako wa fikra unahitajika.
SHIME TUFIKE KWA WINGI AHSANTE.
M/MKUU.
…………………….
|
(Not translated) |