Asasi inahitaji mtu wa kujitolea kwa ajili ya kuiongezea nguvu Asasi.Tunahitaji mtaalamu wa mambo ya I T na Meneja wa masoko.Sifa awe ni mtaalamu wa mambo hayo kwa kiwango cha Diploma au Degree. – Mahala pakufanyia kazi ni Wete Pemba. – Muda wa kujitolea utategemea mafanikio .na mtu wa kuwasiliana naye ni Katibu/Meneja Ali Jabir Khamis | (Not translated) | Hindura |