Asasi inahitaji mtu wa kujitolea kwa ajili ya kuiongezea nguvu Asasi.Tunahitaji mtaalamu wa mambo ya I T na Meneja wa masoko.Sifa awe ni mtaalamu wa mambo hayo kwa kiwango cha Diploma au Degree. – Mahala pakufanyia kazi ni Wete Pemba. – Muda wa kujitolea utategemea mafanikio .na mtu wa kuwasiliana naye ni Katibu/Meneja Ali Jabir Khamis | Requires a volunteer organization for Asasi.Tunahitaji strengthen the professional IT Manager masoko.Sifa be a professional at this level of Diploma or Degree. – Place to do the work is Wete Pemba. – Time commitment will depend on success., And a contact person and a Secretary / Manager Khamis Ali Jabir | Edit |