TASCCO kwa kushirikiana na Chuo Cha Biashara CBE kilichopo jijini Mwanza kuandaa Tamasha la Michezo itakayo jumuisha michezo ifuatayo mpira wa miguu,mpira wa mikono,mpira wa kikapu,netball.Shindano hilo litakuwa na upinzani wa aina yake,kila timu inatarajia ushindi.Pia TASCCO itatoa waamuzi wa michezo yote wenye sifa zinazostahili katika mchezo husika.Shindano hilo litafanyika kuanzia tarehe 02.05.2011 na kuhitimishwa baada ya siku 8 kama ratiba ilivyopangwa. | TASCCO in conjunction with the College of Commerce located in Mwanza CBE preparing Games Festival which will include the following sports football, handball, basketball, netball.Shindano it will be the opposition of its kind, every team hopes will provide ushindi.Pia TASCCO judges of all sports qualified personnel in a game that will be held from sika.Shindano on 05/02/2011 and concluded after 8 days as the planned schedule. | Edit |