kuhamasisha na kushawishi jamii juu ya ushirikishwaji wao katika kuwalea mvccs – baadhi ya wananchi hawajui kiswahili, wanongea lugha za kikabila – ni vizuri tukiwa na wakalimani ambao watakuwa wanatusaidia kutafsiri lugha ili kila mtu aweze kuelewa na kuchangia maoni yake – lugha ni chombo cha mawasiliano kwa hiyobasi tukiwa na wakalimani jamii nzima itauelewa mradi wetu vizuri na ushiriki wao utakua mzuri pia – language... | (Not translated) | Hindura |