Baraza kuu la waislamu wa Tanzania wilaya ya Mkuranga pamoja na kujishughulisha na masuala ya Dini ya Kiislamu lakini pia linajihusisha na utoaji huduma kwa jamii katika harakati za kuleta maendeleo kwa waumini wa dini ya kiislamu na wasiokuwa waislamu. – Hivi karibuni tumewahi kuendesha miradi miwili, wa kwanza ambao ulianzia April 2011 na kuishia March 2012 ulihusu kuhamasiha jamii katika masuala ya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha na rasilimali za umma wilayani Mkuranga... | (Not translated) | Hindura |