Baraza la Watoto Mkoa wa Mwanza lilianzishwa mwaka 2003 kwa dhumuni la kulinda na kutetea Haki na maslahi muhimu ya watoto. Baraza la watoto linasimamiwa na ofisi ya maendeleo ya Jamii mkoa wa Mwanza. halikadhalika Baraza la watoto linamfumo wa Uongozi ambao huanzia katika ngazi ya Kamati Kuu yenye watoto kumi (wasichana watano na wavulana watano), ndani ya kamati kuu yupo Mwenyekititi, makamu Mwenyekiti, Katibu,Muhasibu na wajumbe sita. Sifa zakuwa katika baraza la wa watoto ni Mtu... | (Not translated) | Hindura |