MIRADI YA SHIRIKA: – Shirika letu linayo miradi midogo midogo mitatu: – Afya ya Jamii:
Mradi huu ni wa kuhudumia wagonjwa walioathirika na ukonjwa wa ukimwi
Pia tunatoa elimu rika
Tuna elimisha jamii juu ya mpango wa uzazi na jinsi ya kujikinga na maambukizi ya ukimwi
Kutoa misaada ya hali na mali kwa watoto walio... | (Bila tafsiri) | Hariri |