Mradi wa UNASIHI NA UPIMAJI WA HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI ni endelevu, na sasa hivi Asasi imepokea fedha Sh.21,692,190/=(Milioni ishirini na moja mia sita tisini na mbili elfu mia moja tisini) kwaajili ya kufanya mafunzo ya unasihi katika kata Nne za Malatu,Mchemo,Mtopwa na C/Nandwahi. Mradi huu ulionesha mafanikio mazuri kwa kata za Kitangari na Maputi kwasababu baada ya mafunzo hayo kutolewa jamii imeonesha uelewa wa kutaka kujua Afya zao. ... | BTP Project and voluntary testing for HIV / AIDS is sustained, and now has received financial institutions Sh.21, 692,190 / = (twenty one million six hundred ninety-two thousand one hundred ninety) in favor of making the training of counseling in the county Four Malatu, Mchemo, Mtopwa and C / Nandwahi. This project shows good progress to wards Maputi Kitangari and after the training because it provided the community demonstrated... | Edit |