Kikundi hiki kimeundwa na wanawake walio athirika na Virusi vya ukimwi. Baada ya kugundua hali zetu mbaya za kiafya mwaka 2006 ndipo tulipo amua kuanzisha kikundi hiki. Mwezi February tarehe 9 mwaka jana ndipo tulipo pata usajili wa kuwa NGO rasmi. – Kwakuwa kikundi chetu kilikuwa ni kichanga, hatukujua namna sahihi ya kupata ruzuku. Hivyo tukakubaliana na shikrika linalo fanya kazi na wa athirika TANOFA kuwa tuchangie kiasi cha shilingi laki tano alafu baada ya mwezi watupe mkopo wa... | This group is made up of women who are infected with HIV / AIDS. After discovering our bad health condition in 2006, we decided to start this group. February 9 last year we got registered as an official NGO. – Because our group was new, we didn't know the correct way to get grants. So we agreed with an organization that does work with infected people, TANOFA, that we may give them 500,000 TSh then after a year they give us 2,000,000 TSh for doing work. But it wasn't like... | Edit |