Nuru Halisi ilianza kama kikundi ambacho kilikua kikitoa elimu kwa jamii mwaka 2008 katika Manispaa ya Dodoma. Baada ya kuona jamii inapokea elimu wanayopewa na kukubali kazi yetu, tuliona ni vyema kupata usajili ili tutambulike zaidi na kuweza kuifikia jamii nchi nzima na tulianza kufuata taratibu za usajili na hatimaye January 2009 tukapata usajili rasmi. Tulianza kazi kwa kujitangaza na kutanuka kwa kadri tulivyoweza na hadi sasa tumeishaifikia mikoa minne Tanzania... | (Not translated) | Hindura |