Sababu kuu nne ‘zinazowatafuna’ wakulima wa korosho nchini. – MKOA wa Mtwara umezungukwa na Bahari ya Hindi, na eneo la nchi kavu kuna miti ya mikorosho iliyopandwa tangu enzi ya wakoloni. – Ni moja ya mikoa nchini inayowavutia watu wengi wakiwamo wawekezaji, hasa baada ya Serikali kuanza kuchimba gesi na kubadilisha mfumo wa kuuza zao la korosho na kuwa katika mfumo wa stakabadhi ghalani. – Korosho... | (Bila tafsiri) | Hariri |