Sababu kuu nne ‘zinazowatafuna’ wakulima wa korosho nchini. – MKOA wa Mtwara umezungukwa na Bahari ya Hindi, na eneo la nchi kavu kuna miti ya mikorosho iliyopandwa tangu enzi ya wakoloni. – Ni moja ya mikoa nchini inayowavutia watu wengi wakiwamo wawekezaji, hasa baada ya Serikali kuanza kuchimba gesi na kubadilisha mfumo wa kuuza zao la korosho na kuwa katika mfumo wa stakabadhi ghalani. – Korosho... | Four main reasons 'zinazowatafuna' cashew farmers in the country. – Mtwara Region is surrounded by the Indian Ocean, with an area of land planted cashew trees since the days of the colonists. – It is one of the regions in interesting way many people, including investors, especially after the government started drilling the gas and transform their system to sell the cashew and document storage system. ... | Edit |