baadhi ya vijiji vipo mbalimbali sana hivyo watu wengi wanashindwa kukutana katika eneo moja.. – -marekebisho ya ratiba yafanyike ili kwa wakati mwingine tuweze kufika ngazi ya vijiji na sio kata pekee – e)nimejifunza kufanya kazi kwa kushirikiana na jamii pia kubadilika kulingana na utamaduni wa jamii moja au(ama) nyingine – f)marekebisho ya ratiba .... – g)ratiba izingatie umbali wa eneo husika kulingana na jografia ya eneo la mradi ... | some villages exist very different so many people fail to meet at one place .. – -Adjustment of the schedule to be done so that we can sometimes arrive at the village level and not only cut – e) I have learned to work collaboratively with communities also change according to one culture or society (or) other – f) amend the schedule .... – g) The schedule should consider the distance of the area according to the geographical area of... | Edit |