MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI WILAYA YA MULEBA- KAGERA – Shirika la Kwa wazee Nshamba Muleba kwa kushirikiana na Wazee ,walengwa liliadhimisha siku ya Wazee Duniani yaani tarehe 1 OTOBA 2012. – Siku hiyo ilikuwa ya vifijo shangwe na nderemo kwa wazee wa kata saba za wilaya ya MULEBA na wanajamii waishio maeneo ya kata Nshamba, wajukuu wanao tunzwa na Wazee na wafanyakazi wa... | (Not translated) | Hindura |