Chama cha Skauti Ulimwenguni kilianzishwa na Muengereza aitwae Sir Baden Powell (BP) tangu mwaka 1907 huko Uingereza katika kisiwa cha Brown Sea, – Uskauti uliingia Zanzibar mwaka 1912 miaka 5 tu baada ya kuanzishwa na Sir Baden Powell. – Chama cha Skauti Zanzibar kilianzishwa Mwaka 1912 kabla ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, baada ya Mapinduzi ya Zanzibar 1964 Mheshimiwa Rais... | (Not translated) | Edit |