UZINDUZI WA KITUO MAALUM CHA ELIMU. – (image) – Shirika la African Heritage Foundation inchini Tanzania limezindua kituo maalum cha elimu kiitwacho(Talented Brothers Academy).Uzinduzi huo ulifanywa na Bwana Moses Katega aliyekua mgeni rasmi ambaye ni katibu mtendaji wa shirika hili nchini... | (Not translated) | Hindura |