Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TEYODEN/topic/123465
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Donation
(Bila tafsiri)
Hariri
Habari ndugu zangu?natumaini mu wazima wa afya tele.Kwanza nianze kwa kuwapongeza sana vijana wote Tanzania ambao kwa namna moja ama nyingine,wanapolala na kumka wanajiuliza maswali ya msingi kama ifuatavyo"mimi ni nani?, kwa sasa nipo wapi?naelekea wapi?nitafikaje ninakotaka kwenda? najua yapo maswali mengi na ya msingi kama haya ambayo kwa kweli kama vijana tunapaswa kujiuliza. – Kwa kweli mi niseme tu nimechoka na masuala ya kulalamika,kwa kuwa ni muda mrefu tumelalamika...
(Bila tafsiri)
Hariri
VIJANA TANZANIA TUNAELEKEA WAPI?
(Bila tafsiri)
Hariri